Miaka 50 : Dawa za kulevya bado ni tatizo sugu Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya vita vya kupambana na madawa haramu kuingia mwaka wa hamsini bado idadi ya wanaopoteza maisha kutokana na madawa hayo inazidi kuongezeka nchini Marekani.