Mgogoro wa Makazi: Madai ya fidia wanavijiji Zimbabwe bado yanaendelea

Your browser doesn’t support HTML5

Familia takriban 1,200 zadaiwa kukoseshwa makazi baada ya ardhi yao kutolewa kwa wachimbaji almasi nchini Zimbabwe, huku wakazi hao wakilalamika makampuni ya almasi yaliwajengea nyumba ambazo hazikukidhi viwango.