Mgogoro wa madaraka waongezeka DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Vyama vinavyo muunga mkono Rais wa zamani Joseph Kabila vya waamrisha wanachama wake wanaomuunga mkono Rais Felix Tshisekedi kujiuzulu.
- Kamati maalum yaundwa Zanzibar kuchunguza kilichopelekea jengo la kihistoria la Bait al-Ajaaib kuanguka.

- Maambukizi ya COVID-19 yaongezeka kwa kasi nchini Afrika Kusini baada ya kutangaza aina mpya ya virusi vya ugonjwa huo.