Mfumuko wa bei waleta changamoto katika sekta ya migahawa Marekani
Your browser doesn’t support HTML5
Wafanyabiashara Marekani waeleza jinsi mfumuko wa bei katika bidhaa mbalimbali zilivyoleta changamoto katika sekta ya migahawa, lakini bado wanajaribu kujiuzuia kupandisha bei ya vyakula wanavyouza ili wasiwakasirishe wateja.