Mfahamu mgombea udiwani Mmarekani mweusi mwenye asili ya Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Henry Momanyi, Mmarekani mweusi wa asili ya Kenya, anagombea kiti cha udiwani katika mji wa Brooklyn Park, eneo wakilishi la West District, jimbo la Minnesota kwa tiketi ya chama cha Demokratik.