Membe ajiunga na ACT Wazalendo

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa zamani wa mambo ya ndani wa Tanzania Bernard Membe amejiunga rasmi na chama cha upinzani ACT Wazalendo.