Mechi za AFCON zahamishwa kutoka Uwanja wa Olembe
Your browser doesn’t support HTML5
Mechi za michuano ya Kombe la Soka la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Cameroon imehamishwa kutoka Uwanja wa Olembe kupisha uchunguzi baada ya watu wanane kuuawa katika mkanyagano.