Mdahalo wa Ugombea Urais wa mwisho Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Wamarekani wameridhika na namna mdahalo wa pili na wa mwisho kati ya Rais Donald Trump na mpinzani wake Joe Biden ulivyofanyika alhamisi usiku, lakini wachambuzi wanasema hawadhani mazungumzo hayo yameweza kubadili maoni ya wapiga kura.