Mdahalo wa mwisho Alhamisi baina ya Trump na Biden

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea urais nchini Marekani Joe Biden and Donald Trump watakutana ana kwa ana Alhamisi katika mdahalo wao wa mwisho mjini Nashville, jimboni Tennesse kwa mdahalo wa mwisho wa dakika 90.