Mchezaji wa zamani wa Ufaransa Platini kuhojiwa Uswisi

Your browser doesn’t support HTML5

Mchezaji wa zamani wa Ufaransa Michel Platini atahojiwa na waendesha mashtaka wa Uswisi siku tatu mfululizo katika kesi ambazo bado zinakumba mpira wa miguu ulimwenguni na viongozi wake wa sasa na zamani.