Mchezaji wa timu ya Ufaransa afunguliwa mashtaka ya ubakaji

Your browser doesn’t support HTML5

Mchezaji wa safu ya ulinzi wa timu ya Paris Saint-Germain Achraf Hakimi nchini Ufaransa amefunguliwa mashtaka ya tuhuma za ubakaji kwa mujibu wa mwendesha mashtaka.

Uchunguzi wa awali ulifunguliwa dhidi ya mchezaji huyo wiki iliyopita baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 23 kwenda polisi kwa shauri la ubakaji. Endelea kusikiliza hatma ya mashtaka hayo...