Mchezaji wa Ivory Coast Max Alain Gradel, kushoto, akidensi na mwenzake Serge Aurier baada ya kufunga goli dhdii ya Cameroon katika mechi ya Kundi D mjini Malabo.
Ivory Coast yailazimisha Cameroon kufunga virago katika CAN 2015
Mchezaji wa Ivory Coast Max Alain Gradel, kushoto, akifurahia na mwnzake Serge Aurier baada ya kupachioka goli dhidi ya Cameroon