Mchambuzi Tanzania aeleza sifa za nchi njema

Your browser doesn’t support HTML5

Mchambuzi wa Tanzania Deus Kibamba aeleza sifa za nchi njema, akitoa tahadhari kuwa kero za muungano bado zinafukuta, wakati Rais Hussein Mwinyi akitimiza siku 100 tangu kuchukua madaraka Zanzibar.