Mchambuzi apongeza hatua ya serikali ya Tanzania kupunguza tozo za huduma za fedha

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Fedha wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba ameelezea bungeni kuwa serikali imepunguza tozo za huduma za fedha za kieletroniki kwa njia ya mitandao ya simu pamoja na miamala ya benki, ungana na mchambuzi wa uchumi mjini Dar es Salaam akikufafanulia faraja iliyotokana na punguzo hili.