Mchakato wa kuipa DRC uanachama wa EAC wapitishwa

Your browser doesn’t support HTML5

Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wameidhinisha mchakato wa kuipa uanachama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.