Mbwa aina ya Pit Bull waibua hofu Afrika Kusini baada ya kumuuma mtoto

Your browser doesn’t support HTML5

Takriban mbwa 50 wanaojulikana kama pit bull wakabidhiwa kwa shirika la kuwalinda wanyama dhidi ya kudhulumiwa nchini Afrika Kusini baada mmoja wa mbwa hao kumuuma mtoto mwenye umri wa miaka minane.

- Wananchi wamekuwa wakitaka mbwa hao wa pit bull kutofugwa majumbani. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hatua ambazo wananchi wanachukua kukabiliana na tatizo hilo...