Mazungumzo kati ya Russia na Ukraine kufanyika wiki hii Uturuki

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema Rais Vladimir Putin anatarajiwa kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy.

- Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema Rais Vladimir Putin anatarajiwa kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy.

- Nchi za Kiarabu zilizoanzisha ushirikiano na Israeli zimepanga kukutana kuzungumzia masuala ya Iran na Palestina.

- Chama cha upinzani nchini Zimbabwe kimepata ushindi mkubwa.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari