Mazishi ya Kitaifa Japan: Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aagwa

Your browser doesn’t support HTML5

Hayati Waziri Mkuu wa zamani wa Japan Shinzo Abe atakumbukwa na wengi kama mwanasiasa aliyezingatia utawala wa sheria akiwa madarakani.

Mataifa mbalimbali yametuma risala za rambirambi wakati kifo chake kilipotokea. Ungana na mwandishi wetu akielezea maoni ya umma katika taifa hilo la Japan kuhusu maziko yake yanayofanyika kitaifa...