Duniani Leo: Mawakili wa Trump wana wasilisha utetezi wao katika Seneti
Your browser doesn’t support HTML5
Baraza la Seneti laendelea kusikiliza utetezi wa mawakili wa Rais wa zamani Donald Trump dhidi ya tuhuma za uchochezi na uvamizi wa Congress zinazo mkabili mteja wao.