Mawakili wa Trump waanza utetezi Baraza la Seneti

Your browser doesn’t support HTML5

Mawakili wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump wanasema wanahitaji siku moja tu kuwasilisha kesi ya mteja wao ambaye anakabiliwa na mashtaka kwenye baraza la Seneti la Marekani.