Mawakili wa Rais wa zamani Trump waanza kazi ya utetezi katika kesi ya jinai yenye chunguzi kadhaa

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kufikishwa mahakamani New York na kusomewa mashtaka 34 ya jinai mawakili wake walianza kazi ya utetezi ikiwa ni moja ya chunguzi kadhaa zinazo mkabili Trump.

Katika kesi hii inayomkabili wachambuzi wanaangalia mustakbali wa Rais Trump kisiasa. Endelea kusikiliza...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari