Duniani Leo : Aprili 15 : Mauaji ya Mmarekani Mweusi mwengine yaamsha huzuni mpya

Your browser doesn’t support HTML5

Mauaji ya mwanaume mwengine mweusi katika jimbo la Minnesota yamesababisha mvutano, huzuni na hasira Marekani.
- Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken atembelea Afghanistan Alhamisi.

- Serikali ya Somalia yashikilia uamuzi wa kuongeza muda wa utawala wa rais na bunge licha ya kuwepo ukosoaji mkubwa duniani.