Mauaji Texas: Wabunge watafakari jinsi ya kukabiliana na sheria za bunduki

Your browser doesn’t support HTML5

Harakati zinaendelea kuonekana katika Bunge la Marekani ikiwa ni kuchukua hatua kuchunguza mapungufu ya sheria za bunduki baada ya mauaji ya watoto 19 na watu wazima watatu Texas.