Matumaini yaongezeka Kenya juu ya chanjo ya COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati mataifa yakiendelea kupambana na athari za virusi vya Corona baadhi ya manusura Kenya wa ugonjwa huo wanamatumaini ya kupokea chanjo na kuwa itawaweka imara dhidi ya maambukizi.