Matokeo ya uchaguzi wa kihistoria Marekani wamaliza uvumi kuhusu udhibiti wa Congress

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi wa kihistoria wa katikati ya muhula 2022 nchini Marekani ulitoa matokeo ambayo wengi hawakutarajia na yasiyo ya kawaida. Hii ni kwa sababu Warepublikan hawakuchukua udhibiti wa mabaraza yote ya Bunge, kinyume na utafiti wa maoni ulivyokuwa ukieleza nchini.

Endelea kusikiliza mambo mbalimbali kuhusu mustakbali wa vyama hivi venye upinzani mkali ...