Matayarisho ya safari ya kihistoria ya mwaka 2024

Your browser doesn’t support HTML5

Tume ya anga za juu ya Ulaya, ESA, inasimamia ujenzi wa kituo kimoja kiitwacho, ESM, kinacho hakikisha kuna mazingira bora kwa wana anga watakao fanya safari za anga za juu 2024.