Maafisa wa Shirika la Afya Duniani pia wakutana kupanga mikakati ya kukabiliana na wimbi la virusi vipya vya COVID-19, wakati Uingereza na Afrika Kusini ikiiarifu WHO kuhusu kugunduliwa kwa virusi hivyo vipya.
Mataifa zaidi yasitisha safari za ndege kutoka Afrika Kusini na Uingereza
Your browser doesn’t support HTML5
Mataifa zaidi yasitisha safari za angani kutoka Afrika Kusini na Uingereza yakihofia kuenea virusi vipya vya corona na kusababisha mamilioni ya wasafari kukwama katika viwanja mbalimbali vya ndege huku wakuu wa serikali wakikutana kutafuta ufumbuzi wa haraka.