Mataifa ya magharibi yasitisha msaada kwa Uganda
Your browser doesn’t support HTML5
Baadhi ya mataifa ya magharibi yatekeleza vitisho vya vya kusitisha msaada wa maendeleo ya kijamii kwa Uganda kufuatia Rais Museveni kutia saini sheria ya kupinga mapenzi ya jinsia moja.