Mataifa tajiri duniani yashinikizwa kugharamia athari za mabadiliko ya tabia nchi

Your browser doesn’t support HTML5

Wanaharakati wanataka mataifa tajiri kugharamia athari za mabadiliko ya hali ya hewa katika nchi maskini

- Ufaransa na Italia zinazozana kuhusu wahamiaji kutoka Afrika

- Pia tunahabari maalum kuhusu mchezaji wa Senegal...

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari