Masharti makali ya COVID-19 yatangazwa Kampala
Your browser doesn’t support HTML5
Amri kali mpya yatolewa kwa masoko na maduka ya chakula kujaribu kupambana na wimbi jipya la aina ya virusi vya COVID-19 aina ya Delta huku maduka yote na masoko yasiouzwa chakula yakifungwa mjini Kampala.