Mashambulizi ya Israeli yaleta madhara makubwa Palestina

Your browser doesn’t support HTML5

Israeli yasema imefanya mashambulizi kadhaa dhidi ya wapiganaji wa Kiislam wa Hamas ambao wameshambulia kwa roketi kadhaa maeneo ya Israeli, huku madhara makubwa ya vifo na uharibu wa mali ukiripotiwa upande wa Palestina.