Mashambulizi ya bunduki yanayowalenga vijana na watoto na haki ya kumiliki silaha

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii Washington Bureau inaangazia mashambulizi ya bunduki yanayowalenga watoto na vijana nchini Marekani. Ungana na mwandishi wetu akiangalia athari za mashambulizi hayo kwa vijana na watoto na familia kwa ujumla na haki ya kumiliki silaha nchini.