Mashambulizi mpakani mwa Tanzania - Msumbiji yahusisha Watanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi nchini Tanzania wasema baadhi ya Watanzania wanahusika na mashambulizi yanayo fanyika mpakani mwa Msumbiji na Tanzania.
- Zaidi ya watu milioni 18 wameambukizwa na virusi vya corona nchini Marekani wakati maambukizi yakiendelea kuongezeka.

- Aina mpya ya virusi vya corona yasababisha wasiwasi mkubwa kote duniani, huku safari za ndege kuingia na kutoka Uingereza zikisitishwa.