Mashahidi waendelea kutoa picha halisi ya kifo cha Floyd

Your browser doesn’t support HTML5

Mashahidi wanaendelea kujieleza katika kesi ya Derek Chauvin afisa wa zamani wa polisi aliyeshtakiwa kwa kifo cha George Floyd.
- Umoja wa Afrika umetoa wito kuchukuliwa hatua baada ya wanamgambo kuua darzeni ya watu Msumbiji.

- Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito kwa vyombo vya usalama Somalia kutatua mzozo wa uchaguzi haraka.