Mashahidi waeleza ombi la kumuacha Floyd apumue lilipuuzwa

Your browser doesn’t support HTML5

Mashahidi katika kesi ya George Floyd Marekani waeleza mahakamani moja baada ya mwingine jinsi afisa wa polisi wa zamani alivyopuuza maombi yao yakumwachia Floyd aweze kupumua.