Mashabiki kurejeshewa fedha za tiketi za Olimpiki ya Tokyo
Your browser doesn’t support HTML5
Mashabiki wa michezo wanaoishi Japan walionunua tiketi za mashindano ya Olimpiki ya Tokyo waahidiwa kurejeshewa fedha zao kutokana na kuahirishwa kwa michezo hiyo.