Maseneta kuwa majaji na mwakili katika kesi dhidi ya Trump

Your browser doesn’t support HTML5

Maseneta wa Marekani wataapishwa Jumanne kuwa majaji na mawakili katika kesi ya kumshtaki Rais wa zamani Donald Trump.
- Vikosi vya usalama nchini Uganda vimeondoka nyumbani kwa mwanasiasa wa upinzani Bobi Wine na kumaliza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake.