COVID-19 : Marufuku ya kusafiri Kenya yawaathiri wadau wa biashara

Your browser doesn’t support HTML5

Wadau Kenya waeleza marufuku ya kusafiri kutokana na wimbi jipya la COVID-19 ilivyowaathiri wafanyabiashara mbalimbali wakieleza kushuka kwa kipato chao.