Marubani wa Kenya Airways wasitisha usafiri wa ndege na kukwamisha safari za abiria

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa usafiri wa Kenya anawalaumu marubani kwa kutosikiliza mapendekezo ya serikali.

Abiria wengi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta mjini Nairobi, wamewaambia waandishi habari kwamba hawakua na habari kuhusu mgomo huo hadi walipofika kuchukua ndege.