Marekani yaziwekea vikwazo vipya benki za China
Your browser doesn’t support HTML5
Bunge la Marekani lapitisha vikwazo vipya dhidi ya benki za China baada ya Beijing kupitisha sheria ya usalama wa taifa inayotumika hivi sasa Hong Kong iliyosababisha maandamano kupinga sheria hiyo nchini humo.