Marekani yazitaka pande zote za kisiasa nchini Kenya kujiepusha na fujo

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani imezitaka pande zote za kisiasa nchini Kenya kujiepusha na ghasia na fujo na pia vyombo vya usalama kutotumia nguvu kupita kiasi.

Marekani imezitaka pande zote za kisiasa nchini Kenya kujiepusha na ghasia na fujo na pia vyombo vya usalama kutotumia nguvu kupita kiasi. Marekani imeeleza inasikitishwa na kupotea kwa maisha na uharibifu wa mali. Ungana na mwandishi wetu akikuletea yale ambayo Marekani inaamini katika demokrasia na nini kiongozi wa upinzani anaendelea kusimamia. Endelea kusikiliza...