Marekani yazindua tena shughuli za Peace Corps Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Uzinduzi wa shughuli za wananchi wa Marekani wanaojulikana kama Peace Corps wafanyika nchini Tanzania zikihudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Balozi wa Marekani nchini Tanzania mjini Dar es Salaam.