Marekani yaweka sharti msafiri kutoka Uingereza athibitishe amepimwa

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani yaweka utaratibu wa kuhakikisha msafiri yoyote kutoka Uingereza amepimwa na hana virusi vya corona kufuatia wimbi la aina mpya ya COVID-19.