Marekani yaonya kuhusu uwezekano wa ushirikiano wa kijeshi kati ya Russia na Korea Kaskazini

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii kwenye Washington Bureau,tungaalia suala ambapo Marekani imeonya kuwa mkutano kati ya kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, na Rais wa Russia Vladimir Putin uliofanyikia Russia huenda ukapelekea makubaliano ya silaha kwa kwa ajili ya vita vya Moscow dhidi ya Ukraine.