Marekani yampoteza kiongozi shupavu hayati Colin Powell

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii Taifa la Marekani limempoteza Colin Powell aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa kwanza Mweusi na afisa mkuu wa jeshi aliyefariki kutokana na matatizo ya COVID-19.