Duniani Leo : Aprili 22 : Marekani yalenga kupunguza gesi chafu kwa asilimia 50

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden asema serikali yake inalengo la kupunguza uchafuzi wa hewa kutokana na gesi chafu kwa asilimia 50
- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alihutubia bunge kwa mara ya kwanza.

-Timu ya bunge kutoka Kinshasa yawasili Beni, Kivu kaskazini kukutana na viongozi wa serikali, Monusco, na waandamanaji.