Marekani yakabiliwa na upinzani wa uvaaji barakoa

Your browser doesn’t support HTML5

Ongezeko la kundi la madaktari, wazazi, maafisa wa serikali wanaotaka komesho la uvaaji wa barakoa mashuleni limeibua maadamano na mijadala mikali nchini Marekani.