Marekani yakabiliwa na tatizo la uhaba wa madereva wa malori

Your browser doesn’t support HTML5

Makampuni ya Malori yanafanya kila liwezekanavyo kutatua taizo la uhaba wa madereva wa malori Marekani uliyosababisha kila aina ya matatizo kwa wateja na wafanyabiashara.