Marekani yajadili mzozo wa Ethiopia na Sudan

Your browser doesn’t support HTML5

Mkuu wa Kamati ya Masuala ya Kigeni kwenye Baraza la Seneti anaeongoza ujumbe wa Marekani huko Pembe ya Afrika akutana na viongozi wa Sudan kuzungumzia mzozo uliopo kati yao na Ethiopia.