Marekani yaanza kutafuta suluhu ya mivutano Pembe ya Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani yaanzisha Juhudi za kutatua mivutano katika nchi zakanda za Pembe ya Afrika.
- Uamuzi wa Facebook na Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump umepelekea ishara kuwa viongozi wa dunia ni watumie vyema mitandao ya kijamii.

- Mahakama ya ICC imemhukumu Dominic Ongwen, kiongozi wa zamani wa kundi maarufu la waasi la Lord Resistance Army (LRA), kifungo cha miaka 25 jela.